Posts

Showing posts from 2016

MFUATILIE DANNY BANDEZU KATIKA MTANDAO WA DAILYMOTION.

Bonyeza FOLLOW hapa chini.

VIDEO YA SINYAMAZI IMESHIKA NAMBA 1 KATIKA TOP10 ZA GOSPOMEDIA.COM

http://gospomedia.com/video-kumi-bora-zilizofanya-vizuri-mwezi-wa-nne-2016-hizi-hapa/

MATUKIO KATIKA PICHA YA #SINYAMAZI PROJECT

Image
tukitengeneza video ya #sinyamazi. picha na josephat eric tukitengeneza video ya #sinyamazi. picha na josephat eric Nilipoitambulisha single ya she is gone rasmi ilisindikizwa na poster hii. location ni nje tu ya kanisa la Efatha ministry mwenge. Ndani ya album ya #sinyamazi kuna wimbo unaitwa she is gone ni mahususi kwa ajili ya rafiki yangu mrs joyce mgema aliyefariki mapema january mwaka huu. mapambano yanaendelea, picha na josephat eric hii ni poster ikielekeza ziliko video zangu. umewahi kutembelea godtube.com? moja ya best shots katika #yukoBaba video,  picha na innocent aloyce. mwonekano wa ndani na wa nje ni muhimu kwa waimbaji wa muziki wa injili pia, sisi ni watumishi wa Mungu. Hii ni kati ya posters zilizofanya vizuri katika mitandao ya kijamii, hapa ni location 1 ya #yukoBaba jijini mwanza.picha na innocent aloyce. katika maandalizi ya kushoot #yukoBaba video Moja ya harakati za kuitambulisha album ya #sinyamazi, hapa ...

Danny Bandezu_Sinyamazi (official video)

Image
This is an official music video for danny bandezu's Sinyamazi album title single.it is the first music video ever since the #sinyamazi project came to life. the main theme is #stop fake pastors by reading the Word of God...the Bible.

Danny Bandezu_yuko Baba_official karaoke

Image

Danny Bandezu_Yuko Baba(Official music lyrics)

Image

Danny Bandezu_SINYAMAZI(official music lyrics)

Image

Danny Bandezu_she is gone_KARAOKE

Image

Danny Bandezu_mambo bado(official audio)

Image

DANNY BANDEZU: Danny Bandezu - Yuko Baba(official teaser)

DANNY BANDEZU: Danny Bandezu - Yuko Baba(official teaser)

Danny Bandezu - Yuko Baba(official teaser)

Image

sinyamazi_karaoke_danny bandezu

Image

danny bandezu_yupo Baba_karaoke

Image

danny bandezu_YUKO BABA_lyrics

Image

danny bandezu_SINYAMAZI_lyrics

Image

Danny Bandezu_sinyamazi (official Audio)

Image

#SINYAMAZI IMETOKA WAPI? NINI CHANZO? angalia hapa.

Image

MATUKIO KATIKA PICHA

Image
watoto huwa wana upendo wa dhati mara wapendapo kitu #SINYAMAZI enrique akifurahia poster kuubwa ya #sinyamazi Jemimah akifurahia poster kuubwa ya #sinyamazi

Danny Bandezu azungumza na redio metro fm jijini mwanza.

mahojiano ya danny bandezu na safari fm mtwara

PICHA ZA MATUKIO KATIKA VIDEO SHOOTING

Image
#sinyamazi ni wimbo unaobeba jina la album ijayo ya danny bandezu. Na hapa tunakuletea picha mbali mbali za matukio wakati wa kuitengeneza video hiyo. Furahia na usisahau ku share.

DANNY BANDEZU NI NANI?

Image
KUZALIWA Amezaliwa mwaka 1985 08 august huko mjini mwanza, Tanzania. jina lake kamili ni Daniel joseph Itang'are. lakini amekuwa maarufu kwa jina la 'danny Bandezu'. wazazi wake ni Joseph itang'are ambaye ni mfanya biashara na mdau mkubwa wa soka nchini Tanzania, Mama yake ni Joyce seko Bogohe mtoto wa mwanasiasa maarufu Lameck makaranga Bogohe. ELIMU Danny Bandezu alianza elimu ya msingi mnamo mwaka 1994 - 2000 katika shule ya msingi Shamaliwa iliyopo eneo la igoma jijini mwanza, Tanzania. Elimu ya sekondari aliipata katika shule ya mission imilikiwayo na kanisa maarufu la African inland church AIC iitwayo Bujora secondary school mnamo mwaka 2002 - 2005. Baadae alijiendeleza katika elimu za juu kwa kuchukua kozi mbalimbali ikiwemo uandishi na utangazaji wa habari yaani journalism katika chuo cha habari cha Royal college kilichopo jijini Dar es salaam mwaka 2009. Ameoa na ana watoto wawili Jemimah na Enrique Daniel. MUZIKI Danny alianza kujishughulisha na m...

download Sinyamazi ya danny bandezu hapa

''UJIO MPYA WA DANNY BANDEZU UNALENGA KUTUMBUA MAJIPU KWA MUZIKI WA INJIRI''

Image
DANNY BANDEZU': mwonekano wa mbele wa cd yake mpya inayoenda kwa jina la #sinyamazi Danny Bandezu ni jina linalovuma kwa kasi masikioni na machoni mwa wengi kwa sasa nchini na nje ya nchi ya Tanzania. Mara nyingi alipohojiwa amekuwa akisema kuwa muziki wa injiri nchini umekuwa ukihitaji ubunifu kila iitwapo leo maana katika dunia ya sasa hakuna tasnia ambayo imesinzia, kila moja iko macho na inaumiza kichwa kuja na vitu vipya. "Watu ukiwaambia unaimba gospel music wanacheka na kubeza sana..wengine hawataki hata kusikia story yako inaishiaje, ni kwa sababu muziki huu umekuwa stagnant kama utamaduni flani usioenda na wakati uliopo. mimi nimeamua kuja na mrindimo tofauti na radha mchanganyiko ndani ya album moja hiyo hiyo #sinyamazi"  alisema. ''Redio nyingi zimekuwa kikwazo kikubwa cha kuinuka kwa muziki huu pia. tuna watu wenye vipaji katika uimbaji lakini wamekuwa wakitozwa pesa kubwa ili tu wimbo upigwe tena sio kila siku!!!'' Pia Danny Band...