MATUKIO KATIKA PICHA YA #SINYAMAZI PROJECT

tukitengeneza video ya #sinyamazi. picha na josephat eric

tukitengeneza video ya #sinyamazi. picha na josephat eric

Nilipoitambulisha single ya she is gone rasmi ilisindikizwa na poster hii. location ni nje tu ya kanisa la Efatha ministry mwenge.

Ndani ya album ya #sinyamazi kuna wimbo unaitwa she is gone ni mahususi kwa ajili ya rafiki yangu mrs joyce mgema aliyefariki mapema january mwaka huu.

mapambano yanaendelea, picha na josephat eric

hii ni poster ikielekeza ziliko video zangu. umewahi kutembelea godtube.com?

moja ya best shots katika #yukoBaba video, picha na innocent aloyce.

mwonekano wa ndani na wa nje ni muhimu kwa waimbaji wa muziki wa injili pia, sisi ni watumishi wa Mungu.

Hii ni kati ya posters zilizofanya vizuri katika mitandao ya kijamii, hapa ni location 1 ya #yukoBaba jijini mwanza.picha na innocent aloyce.

katika maandalizi ya kushoot #yukoBaba video

Moja ya harakati za kuitambulisha album ya #sinyamazi, hapa nikiwa global publishers katika mahojiano maalum na global tv online.

Katika moja ya location huko mwanza tukitengeneza video ya #yukoBaba, picha na innocent aloyce.

Kama msanii unakuwa kioo cha jamii na ni muhimu kujenga identity yako ikiwemo ile ya mwonekano, hapa ni hair shaving salon kwa mr juma ambaye anajua nataka nini kichwani na kidevuni.

Katika location ya 'she is gone' #sheIsGone, lead vocals nilifanyia hapa ni ndani ya ukumbusho photo studio Igoma mwanza mahala nilipozaliwa. studio hii ilikuwepo tangu nikiwa mdogo kabisa.

Comments

Popular posts from this blog

DANNY BANDEZU NI NANI?