MATUKIO KATIKA PICHA YA #SINYAMAZI PROJECT
tukitengeneza video ya #sinyamazi. picha na josephat eric tukitengeneza video ya #sinyamazi. picha na josephat eric Nilipoitambulisha single ya she is gone rasmi ilisindikizwa na poster hii. location ni nje tu ya kanisa la Efatha ministry mwenge. Ndani ya album ya #sinyamazi kuna wimbo unaitwa she is gone ni mahususi kwa ajili ya rafiki yangu mrs joyce mgema aliyefariki mapema january mwaka huu. mapambano yanaendelea, picha na josephat eric hii ni poster ikielekeza ziliko video zangu. umewahi kutembelea godtube.com? moja ya best shots katika #yukoBaba video, picha na innocent aloyce. mwonekano wa ndani na wa nje ni muhimu kwa waimbaji wa muziki wa injili pia, sisi ni watumishi wa Mungu. Hii ni kati ya posters zilizofanya vizuri katika mitandao ya kijamii, hapa ni location 1 ya #yukoBaba jijini mwanza.picha na innocent aloyce. katika maandalizi ya kushoot #yukoBaba video Moja ya harakati za kuitambulisha album ya #sinyamazi, hapa ...