Posts
Showing posts from February, 2016
Danny Bandezu azungumza na redio metro fm jijini mwanza.
- Get link
- X
- Other Apps
DANNY BANDEZU NI NANI?
- Get link
- X
- Other Apps
KUZALIWA Amezaliwa mwaka 1985 08 august huko mjini mwanza, Tanzania. jina lake kamili ni Daniel joseph Itang'are. lakini amekuwa maarufu kwa jina la 'danny Bandezu'. wazazi wake ni Joseph itang'are ambaye ni mfanya biashara na mdau mkubwa wa soka nchini Tanzania, Mama yake ni Joyce seko Bogohe mtoto wa mwanasiasa maarufu Lameck makaranga Bogohe. ELIMU Danny Bandezu alianza elimu ya msingi mnamo mwaka 1994 - 2000 katika shule ya msingi Shamaliwa iliyopo eneo la igoma jijini mwanza, Tanzania. Elimu ya sekondari aliipata katika shule ya mission imilikiwayo na kanisa maarufu la African inland church AIC iitwayo Bujora secondary school mnamo mwaka 2002 - 2005. Baadae alijiendeleza katika elimu za juu kwa kuchukua kozi mbalimbali ikiwemo uandishi na utangazaji wa habari yaani journalism katika chuo cha habari cha Royal college kilichopo jijini Dar es salaam mwaka 2009. Ameoa na ana watoto wawili Jemimah na Enrique Daniel. MUZIKI Danny alianza kujishughulisha na m...
''UJIO MPYA WA DANNY BANDEZU UNALENGA KUTUMBUA MAJIPU KWA MUZIKI WA INJIRI''
- Get link
- X
- Other Apps
DANNY BANDEZU': mwonekano wa mbele wa cd yake mpya inayoenda kwa jina la #sinyamazi Danny Bandezu ni jina linalovuma kwa kasi masikioni na machoni mwa wengi kwa sasa nchini na nje ya nchi ya Tanzania. Mara nyingi alipohojiwa amekuwa akisema kuwa muziki wa injiri nchini umekuwa ukihitaji ubunifu kila iitwapo leo maana katika dunia ya sasa hakuna tasnia ambayo imesinzia, kila moja iko macho na inaumiza kichwa kuja na vitu vipya. "Watu ukiwaambia unaimba gospel music wanacheka na kubeza sana..wengine hawataki hata kusikia story yako inaishiaje, ni kwa sababu muziki huu umekuwa stagnant kama utamaduni flani usioenda na wakati uliopo. mimi nimeamua kuja na mrindimo tofauti na radha mchanganyiko ndani ya album moja hiyo hiyo #sinyamazi" alisema. ''Redio nyingi zimekuwa kikwazo kikubwa cha kuinuka kwa muziki huu pia. tuna watu wenye vipaji katika uimbaji lakini wamekuwa wakitozwa pesa kubwa ili tu wimbo upigwe tena sio kila siku!!!'' Pia Danny Band...