DANNY BANDEZU NI NANI?
KUZALIWA Amezaliwa mwaka 1985 08 august huko mjini mwanza, Tanzania. jina lake kamili ni Daniel joseph Itang'are. lakini amekuwa maarufu kwa jina la 'danny Bandezu'. wazazi wake ni Joseph itang'are ambaye ni mfanya biashara na mdau mkubwa wa soka nchini Tanzania, Mama yake ni Joyce seko Bogohe mtoto wa mwanasiasa maarufu Lameck makaranga Bogohe. ELIMU Danny Bandezu alianza elimu ya msingi mnamo mwaka 1994 - 2000 katika shule ya msingi Shamaliwa iliyopo eneo la igoma jijini mwanza, Tanzania. Elimu ya sekondari aliipata katika shule ya mission imilikiwayo na kanisa maarufu la African inland church AIC iitwayo Bujora secondary school mnamo mwaka 2002 - 2005. Baadae alijiendeleza katika elimu za juu kwa kuchukua kozi mbalimbali ikiwemo uandishi na utangazaji wa habari yaani journalism katika chuo cha habari cha Royal college kilichopo jijini Dar es salaam mwaka 2009. Ameoa na ana watoto wawili Jemimah na Enrique Daniel. MUZIKI Danny alianza kujishughulisha na m...
Comments
Post a Comment